NGM257

News: Young John aingia location ku shoot video ya ngoma yake mpya.

Spread the love

Msanii wa muziki wa bujafleva alietamba na vibao kama “Good Vibes na Snap it” Young John anatarajia kuachia video ya ngoma yake mpya atakayoachia hivi karibuni.

Staa huyo mrundi mwenye makazi yake South Africa ameonekana akiwa location na director Andylair Bancos mjini Bujumbura wakishoot video ya ngoma mpya ambayo hajaweka wazi jina la wimbo huyo.

Kupitia kurasa za instagram Young John amewaambia mashabiki wake wakae mkao wakula maana anakuja na kitu kipya ambacho kitawasisimuwa zaidi.

Tazama hapa chini ngoma yake Good Vibes iliofanya vizuri kwenye runinga za kimataifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com