NGM257

News:Mke wa hayati Nelson Mandela afariki dunia.

Spread the love

Mke wa zamani wa Rais wa kwanza wa Afrika Kusini Nelson Mandela, Winnie Mandela Mandikizela afariki dunia jioni ya leo jijini Johannesberg – South Africa.

Winnie Mandikizela atakumbukwa kwa mengi hasa katika kupinga ubaguzi wa rangi uliokuwa unaendeshwa na makaburu.

#RIP MAMA SOUTH AFRICA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com