NGM257

NGM yaeneza mwaka mmoja tangu kuanza kazi zao rasmi

Spread the love

Kwa mara yao ya kwanza tokea kuungana kwao na kutengeneza umoja usiovunjika rahisi,Vijana kutoka kwenye vituo tofauti vya RADIO na TV leo wanakamilisha mwaka mmoja tangu kuungana kwao.

Umoja wao umeleta mabadiriko makubwa kwa kuwaunga mkono wasanii wa nyumbani na kuonyesha uzalendo pia kwa kila mtu.Wamekuwa ni watu wenye mfano wa kuigwa kwa kila mtu anayependa mabadiriko ya Nchi yake hasa kwenye kitengo cha sanaa.

Jina lao la NEW GENERATION MEDIA limetokea kuwa gumzo zaidi nje na ndani pia kutokana na kazi zao zinavyoonekana kila sehemu kwa haraka na upesi pia.

Muungano huo unafanya na watangazaji wafuatao:

1.Adrian LAVISTA

2.KELVIN ZEHOT

3.JUDIE CAELLE

4.NELLY NAT

5.REMSON

6.HAMAN BEKELE

7.ERIC DOUGLAS

8.YVETTE CHARMANTE

9.ISAAC IBRAHIM

10.PENIEL KAMIKAZE

Muungano wao umewafanya kuishi kama familia kwa sababu wamekuwa ni watu wenye upendo kati yao na kwa kila mtu yeyote awe mkubwa au mdogo.

Tukizungumzia mafaniko yao kwa mwaka mmoja hatuwezi kuyamaliza.Ila machache nikuwa washakamilisha vitu vingi sana kama :ONLINE TV (NGM TV SHOW YOUTUBE) WEBSITE( ngm.257.com)na wanapatika kila mtandao wa kijamii pia,…

Hii ni siku kuu yao ambayo kila mtu anawatakia mafanikio mema na makubwa kwa kazi zao wanazozifanya.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat