Rapper Bizzo Uwezo na Mwana Rnb A Flow Slim watoa tafu huko Trust nobody

Spread the love

Wasani wa kizazi kipya kwenye muziki wa Buja fleva Rapper Bizzo Uwezo na mwana RnB A Flow Slim wameonekana kutoa tafu hiyo jana tarehe 22 January 2019 kwenye kazi za lebo ya mziki nchini Trust no body

Fahamu kuwa ni jana ambapo meneja wa lebo hiyo amewasili nchini akiwa na lengo la kuzinduwa studio ya lebo yake na kuonyesha watu producer atakaefanyia kazi kwenye studio hiyo Iyogo on the beat ,Wasanii hao wameonekana kusapoti shughuri hiyo mwanzo mpaka mwisho

NGM257 ilipozungumza nao A Flow Slim amesema Kuwa mziki wetu wa Burundi unashangaza kiasi kwamba wasanii wanasikia msanii mwenzao au meneja ana shughuri halafu akakosa wasanii hata watano wa kuja kusapoti shughuri hiyo

Ifahamike kwamba A Flow Slim kwa sasa anatamba na kibao chake kibebacho jina la “Dada” alichoachia mwaka jana mwishoni huku Bizzo Uwezo akiendelea kunogesha mashabiki wimbo wake wa “Tunawadomine” alioachia kitambo kidogo.

Related Post

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat