NGM257

Sport | Baraza la Makanisa Burundi yatangaza tarehe ya kuanza mashindano ya Mpira wa Miguu

Spread the love

Baraza la Makanisa nchini Burundi imeteua kamati ya kuandaa mashindano ya michezo mbali mbali kwa njia ya kutangaza habari njema ya Mungu kupitia michezo.

Kamati inayousika na mchezo wa mpira wa miguu, imetangaza tarehe rasmi ya mashindano hayo kuwa yanatarijiwa kuanza Julai 28, mwakani hapa mjini Bujumbura katika viwanja tofauti, kwa mjibu wa Naibu Kiongozi Nimbeshaho Dieudonné.

Aidha Makanisa tayari zimethibitisha kushiriki katika mashindano hayo ni pamoja na :

-Eglise Vivante Jabe

– EAC Nyakabiga

-Eglise du Rocher

– Eglise Emmanuel Ya Bwiza

-Eglise Rehobot

-Eglise Live Center

-Eglise du Guerison

-Eglise Fecabu Nyakabiga

-Eglise Bon Berger

-Eglise Adonnant

-…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com