NGM257

Sport | Burundi imefanikiwa kufuzu Kombe la CAN2019 U20 baada ya miaka 24

Spread the love

Tayari Timu ya taifa Intamba Murugamba ya wachezaji chini ya miaka 20, imefanikiwa kufuzu michuano ya Kombe la CAN2019 U20 iliyopangwa nchini Niger mwaka ujao.

Baada ya kutokufanya vizuri mechi ya awali (1-0), vijana wa Joslin Bipfubusa mechi ya marudio leo hii wameitambia Zambia U20 katika uwanja mkuu Rukundo ya mkoani Ngozi kwa ushindi wa bao tatu bila (3-0), kupitia wachezaji wake Ramazani Pascal, Shaka Bienvenue na Kanakimana Bienvenue

  1. Burundi iliwahi kushiri Kombe la CAN U20 mwaka 1995 nchini Nigeria baada ya miaka 24.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com