NGM257

Sport | Hispania yamua kuachana na Lopetegui kama kocha mkuu

Spread the love

Baada ya kuthibitishwa jumanne kama mrithi wa Zinedine Zidane kwenye benchi ya Real Madrid, Kocha wa timu ya taifa Hispania Julen Lopetegui (51) afukuzwa rasmi na Hispania leo hii.

Baada ya kutangazwa kwa mshangao kocha wa zamani wa Rayo Vallecano na FC Porto, viongozi wa Hispania waliamua kumuachusha kazi huku wachezaji wa Roja wamejaribu kuokoa kocha wao katika mkutano ambao umefanyika kwa zaidi ya ma saa Lakini washirika wa Ramos walishindwa kupata uthibitisho kutoka kwa kocha wao ili asalie kwenye benchi.

Aidha nafasi ya kocha huyu imechukuliwa na Albert Celades ambae alichukua ubingwa wa kombe la dunia 2010 akiwa kocha mku wa Hispania U21.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com