NGM257

Sport | Jean Claude Birumushahu alamba shavu Kombe La Dunia

Spread the love

Kamati la waamuzi FIFA imetangaza waamuzi 36 na waamuzi 63 wasaidizi kutoka nchi 46 tofauti kwa Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

Miongoni mwa waamuzi hawo Jean Claude Birumushahu kutoka Burundi amechaguliwa kati ya waamuzi wa saidizi wa tukio hili kuu.

Mwaamuzi huyu amepata shavu baada ya kuibia kwenye orodha ya waamuzi ambao watakaosimamia fainali za Kombe la Dunia zinazopangwa kufanyika Juni mwaka huu nchini Urusi.

Wakati wa Kombe la Duinia waamuzi wote waliochaguliwa watakuwa na uwezo wa kufanya kazi mbalimbali : Mwamuzi wa kati, mwamuzi msaidizi, mwamuzi wa nne, mwamuzi wa hifadhi au mchunguzu wa video (assistant video).

Aidha, Jean Claude ataiwakilisha Burundi kwa kuipa heshima na CAF kwa ujumla hasa kwa miaka kadhaa na tarehe ya mwisho ya Kombe la Dunia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com