NGM257

Sport | Kidiaba Robert achaguliwa kuwa Mbunge wa wilaya la Lubumbashi

Spread the love

Golikipa wa zamani wa TP Mazembe na wa timu ya taifa ya DR Congo, Robert Kidiaba MUTEBA amefanikiwa kuingia kwenye siasa! Siku ya Alhamisi, tume ya uchaguzi ya DR Congo ilizindua matokeo ya uchaguzi na Kidiaba akiwa kocha wa magolikiba wa TP Mazembe, alichaguliwa kuwa Mbunge wa wa wilaya la Lubumbashi.

Kama kumbusho, mpinzani Felix Tshisekedi alichaguliwa kuwa rais wa Jamhuri wakati wa uchaguzi huo, akishika nafasi ya Joseph Kabila aliyekuwa na mamlaka tangu mwaka 2001.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com