NGM257

Sport | Kiongozi wa Shirikisho la Soka la Benin ahukumiwa miezi 12 ya kifungo

Spread the love

Kiongozi wa zamani wa Shirikisho la Soka la benin, Moucharafou Anjorin ahukumiwa kifungo Jumanne hii miezi  12 ikiwa miezi mbili jela na Mahakama ya Kwanza Contonou, kwa kesi ya kudanganya umri wa vijana wa timu ya taifa ya miaka chini ya 17 (U17).

Mahakama hiyo iliamua katika kesi ya udanganyifu wa umri kwa timu za taifa, Vyama mbalimbali vinavyohusika katika jambo hili, walifikiana na kukubaliana kumuhukuma kiongozi huyo. Kiongozi huyo alihukumiwa miezi kumi na mbii ikiwa miezi miwili ya jela pamoja na katibu wa zamani  wa utawala Zéphyrin Déguénon.

Wengine waliopata na hukumu hiyo ni pamoja na Daktari Parfait Aivodji, na Lafiou Yéssoufou, kocha wa timu pamoja na wasaidizi wake. kwa wachezaji hakimu hakuwasahau, ambaye aliwapa kifungo cha miezi sita.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat