NGM257

Sport | Kocha Tigana wa Inter Star asimamishwa kazi kwa mda

Spread the love

Halmashauri wa amana inayosimamia klabu ya soka ya Inter Star, itakayoshiriki kwenye ligi ya daraja ya pili ya Burundi ya Primus League, inasemekana imechukua hatua ya kumsimamisha Kocha mkuu wa timu hiyo Karumba Jean maarufu kwajina la Tigana kwa muda wa miezi 3.

Habari hiyi tulifahamishwa na moja wa kiongozi wa timu hiyo na kutuakikishia kwamba wameamua kuchukua maamzi hayo kwa sababu za ndani na sio lazima iwekwe wazi ila itawekwa adharani siku za mbele.

Aidha, inaonekana kuwa Inter Star ndio yavunja mkataba na italazimika kumulipa kocha huyo kadiri ya mukataba wake na klabu, kwasababu kusimamishwa miezi 3 ni sawa na kufukuzwa kazi.

Endelea kufuatilia habari zetu tutajaribu kumtafuta kocha Tigana atufungukie zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com