NGM257

Sport | Mchezaji wa zamani wa Timu ya taifa na Muzinga afariki dunia

Spread the love

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa Burundi, Muzinga na APR ya Rwanda, Jean Paul Alexis maarufu kama Arege afriki dunia kwa ajali ya gari nchini Rwanda na mwili wa mrehemu tayari umewasili Bujumbura Agosti, 07.
Wakati akicheza soka, Arege aliwahi kuvitumikia vilabu vya Burundi Muzinga na Rwanda “APR kwa vipindi tofauti pamoja na timu ya taifa ya taifa ya Burundi ‘Intamba Murugamba’.

Mazishi ya marehemu ilifanyika leo na kilio kimewekwa Bwiza (7Av.N36).

Kweli nimepokea taarifa hizi za masikitiko, ndugu yetu ametangulia mbele za haki, Mungu amjalie kauli njema na amsamehe zambi zake, amin”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com