NGM257

Sport | Messi hatiani kuikosa El Clasico

Spread the love

Baada ya kupoteza mechi nne huko la Liga, FC Barcelona imepata ushindi kwa kuitawala FC Sevilla Jumamosi usiku katika wiki ya 9 ya La Liga (4-2).

Hata hivyo Bingwa wa Hispania wanaingia hatarini kumpoteza nyota wao Lionel Messi kwa kuumia. Alianguka kwenye mkono wake wa kulia baada ya duel na Franco Vazquez, Lionel Messi alitoka nje nakuacha nafasi yake kwa Ousmane Dembelé kabla ya nusu saa ya mchezo.

Dakika chache ya filimbi ya mwisho, Barca ilitoa tarifa za mchezaji wake kwa kuthibitisha kwenye akaunti yake ya twitter kwamba Messi atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu.

Kwa hiyo namba 10 wa Barca atapoteza michezo kadhaa, ikiwa ni pamoja na mechi ya Clasico dhidi ya Real Madrid.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat