NGM257

Sport | Michuano ya CECAFA U17 kuanza rasmi Agost 11 nchini Tanzania

Spread the love

Michuano ya Soka kuwania taji la Afrika Mashariki na Kati CECAFA U-17 inatarajiwa kuanza rasmi Agost 11 hadi Agosti 25 mwakani.

Mashindanobya vijana kwa vijana chini ya miaka 17 mwakani na mashindano hayo yatatumika kama sehemu ya kufanya maandalizi kuelekea fqinali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri wa miaka 17 mwaka 2019.

Timu ya Burundi itashiriki michuano hiyo huku mandalizi ikiendelea baada ya kupata kocha mpya mfaransa Thiery Guillou akisaidiwa na kocha wa zamani wa Musongati, Vivier Bahati pamoja na Jumapili Hassan.

Tuwakumbushe kwamba nchi wanachama wa CECAFA ni pamoja na Tanzania, Zanzibar, Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda, Somalia, Sudan, Sudan Kusini, Eritrea na Ethiopia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com