NGM257

Sport | Orodha ya wachezaji 18 wa Timu ya taifa ya Burundi dhidi ya Mali

Spread the love

Kocha wa timu ya taifa ya Burundi, Alain Olivier Niyungeko ametoa orodha ya wachezaji 18 kwa ajili ya mchezo dhidi ya Eagles wa Mali ambayo imepangwa Jumatano, Oktoba 12, 2018 mjini Bamako.

Kumbuka kuwa mchezo wa marudio imepangwq kufanyikz Oktoba 16 katika uwanja wa Prince Louis Rwagasore.

Hapa ni orodha ya wachezaji 18 waliochaguliwa:

Jonathan NAHIMANA
Justin NDIKUMANA
Abdul Karim NIZIGIYIMANA
Christophe NDUWARUGIRA
Rachid Léon HARERIMANA
Fréderic NSABIYUMVA
Omar NGANDO
Omar MOUSSA
David NSHIMIRIMANA
Shassir NAHIMANA
Gael BIGIRIMANA
Gaël DUHAYINDAVYI
Cédric AMISSI
Hussein SHABANI
Francis MUSTAFA
Karibu SHAKA
Fiston ABDOUL
Saido Berahino

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com