NGM257

Sport | Ronaldinho kazua Mahajabu ya kufunga ndoa na vimwana wawili

Spread the love

Mchezaji nyota wa zamani wa klabu ya Barcelona pamoja na timu ya taifa Brazil, Ronaldinho anatarajia kufunga ndoa na wasichana wawili siku moja kwa mjibu wa habari nchini Brazil.

Habari inaeleza kwamba Ronaldinho ameamua kuwavisha pete ya uchumba vimawna hawo wanao fahamika kwajina la Priscilla Coelho na Beatriz Souza huku kwa uchunguzi wa karibu vimwana hao wanaishi na nyota huyo katika mjengo wake wa kifahari uko Rio de Janeiro.

Kwa mjibu wa gazeti la Daily Mirror  ya Brazil, imeandika kuwa Ronaldinho amekua akitoa kitita cha pesa kiasi cha Euro 5000 kila mwezi kwa warembo hao kama matumizi yao huku harusi imepangwa kufanyika Santa Monica jiji la Rio.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com