NGM257

Sport | Ronaldo anavunja rikodi ya kuwa mfungaji bora Ulaya

Spread the love

Mfungaji wa bao moja Jumatano hii dhidi ya Morocco katika Kombe la dunia Urusi 2018, mreno Cristiano Ronaldo alivunja rikodi ya kuwa mfungaji bora barani ulaya akiwa na mabao 85.

Hii ni bao lake la nne katika michezo miwili ya Kombe la Dunia 2018.

Rikodi iliyokuwa inashikiliwa na mshambuliaji wa Hongry, Ferenc Puskas akiwa na mabao 84(akiitwa mara 85), baada ya miaka 62.

Rikodi hiyo inafutwa na mreno Cristiano Ronaldo na mabao 85(akiitwa mara 152).

Mshindi wa mpira wa dhahabu mara tano, anachukua na fasi ya pili duniani nyuma ya mshambuliaji wa wa Iran, Ali Daei (bao 109 akiitwa mara 149 mwaka wa 1990-2007).

Ronaldo anazidi kufanya vizuri zaidi kuliko wachezaji wawili bado wanafanya vizuri yaani Lionel Messi wa Argentina na Muindi Sunil Chhetri ( wakiwa na mabao 64 kila mmoja).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com