NGM257

Sport | Sababu ya kifo cha Emiliano Sala chatambulika

Spread the love

Kwasasa tunajua sababu ya kifo cha Emiliano Sala, baada ya kufanya ajali ya ndege, Januari 21, mchezaji wa kimataifa wa Argentina hakufa kwa kuzama. Baada ya kupata mwili wa marehemu ilifanyika vipimo (autopsy) na matokeo ni kuwa mzaliwa huyu wa Cululu alikufa kutokana na ajali hiyo ya ndege alipata majeruhi sehemu ya kichwa na kiwiliwili.

kwa mjibu wa Wales Online, iliripoti kuwa sababu kubwa ya kifo cha Sala haitatolewa hadi miezi sita na hata kumi na mbili lakini hati ya kwanza inapaswa kupatikana ndani ya wiki mbili, ingawa dereva wa ndege (Pilote), David Ibbotson hajapatikana mpaka sasa.

wakati mwili wa mchezaji wa zamani wa Bordeaux na Nantes ulitambulika juma jana kupitia vipimo vya vidole vyake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com