NGM257

Sport | Sadio Mané asema Uislamu ni muhimu kuliko chochote…

Spread the love


Nyota wa Senegal na Liverpool, Sadio  Mané alitoa mahojiano na As, ambapo alielezea uhusiano wake na Uislam, Dini yake.

Sadio  Mané alisema dini hiyo inamfanya kuwa na afya nzuri na yenye usawa.

” Dini ni muhimu kwangu kuliko kitu chochote, ninaeshimu sheria za uislamu na ninaomba mara tano kwa siku na daima si kunywi pombe. Hakuna matatizo kati ya dini yangu  na mazoezi, wala mafanikio yangu haifanyi ni sahau dini yangu, kwasababu mafanikio hainiongozi bali mimi ndio kiongozi wa maisha yangu pale ninapo zingatia dini. kila siku nilikua nataka niwe mchezaji maarufu na ndio ilikua moja ya dua yangu kila siku na kwasasa Mungu amenipa nilicho kihitaji na wazazi wangu wanajivunia sana kuona niko mchezaji wa soka, Uislamu ni muhimu kuliko kitu chochote kile”, Alisema sadio  Mané

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com