NGM257

Sport | Tanzia : Kocha wa zamani wa Brother’s Men afariki dunia

Spread the love

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Brother’s Men, Nyandwi Salumu Mulamba maarufu kwa jina la Matala amefariki dunia leo asubuhi siku ya Ijumaa Oktoba 26, 2018, nchini Burundi.

Wakati wa uhai wake Matala kwajina maarufu alikuwa Kocha Mkuu pia Mkurugenzi wa ufundi ndani ya klabu ya Brother’ Men hakuwai kuifundisha timu yoyote nchini Burundi isipokuwa Brother’s Me.

Kamwe wachezaji kadhaa walitokea kuwa maarufu nchini na nje ya nchi kupitia Kocha Matala ni pamoja na

– Ntibazonkiza Saidi

– Makis

– Wembo Sutche

– Didier Kavumbagu

– Hamza

– Assumani Mulamba

– Makiwa

– Kalala,

pia na muandishi wa habari wa Mishe Mishe na Ngm257, Eric Douglas Samir.

Tuwakumbushe kwamba Kocha Matala ameacha watoto 14 na wake 2.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat