NGM257

Sport | Tayari Argentina yampata Messi mpya

Spread the love

Anaitwa Luka Romero raia wa Argentina ambaye anafikiriwa kuwa Messi mpya katika timu ya taifa nchini hapo, baada ya kuitwa katika kikosi cha Argentina U15.

Wakati wa kutangza orodha ya wachezaji walioitwa kushiriki mazoezi ya vijana, katika akaunti ya Twitter ya Argentina iliandika kupata mchezaji ambaye anaweza kuwa mchezaji mkubwa miaka za mbele wa nchi hiyo.

Katika orodha hiyo Romero ni kijana pekee ambaye anacheza nje ya nchi, kwa hiyo anazidi kuongelewa kwenye mitandao ya kijamii.

Ni raia mwenye asili ya Argentina kwa baba lakini mama kutoka Mexico akiichezea Real Mallorca.

Mara nyingi kijana huyu analinganishwa na Messi kwa vyombo vya habari vya Hispania kwa sababu ya uwezo wake na talanta yake hakuna utofauti mkubwa na Lionel Messi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com