NGM257

Sport [ Video kutumika kwenye kombe la dunia kwa kumsaidia mwamzi

Spread the love

Michuano ya kombe la dunia mwaka huu kuna mabadiliko makubwa ya ujuzi,  imethibitisha kuwa video ya kumsaidi mwamuzi bila shaka itatumika.

kiongozi wa FIFA, GIANN INFANTINO alithibitisha hayo baada ya kufikia makubaliano na bodi ya FIFA uko Colombia.

Maamuzi hayo yamekubaliwa baada ya kufanya madjaribio ya maelfu ya mechi, kwa kipindi cha miaka miwili ambayo yamewahakikishia na kuona kama ni jambo muhimu kutumia teknolojia hiyo kama sehemu ya kumsaidia mwamuzi uwanjani.

Tuwakumbushe kuwa teknolojia hiyo imekuwa ikifanyiwa madjaribio kwenye baadhi ya ligi Ulaya katika michuano ya kombe la FA Cup nchini England.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com