NGM257

Sports|Mshambuliaji wa Stoke Saido Berahino akivutia maslahi kutoka kwa PSV na Feyenoord

Spread the love

Mrundi ambae ni mshambuliyaji wa timu ya stoke city SAIDI BERAHINO, anatafutwa na timu mbili bingwa nchini uholanzi katika michuano ya EL DIVISI.

makala kutoka katika gazeti la Sport News la nchini uingereza tarehe 21 mwezi juni,
inazungumza na kuthibitisha kuwa Saido Berahino anatafutwa na timu mbili ambazo ni PVS Eindhoven na Feyenoord.

Berahino amewasili katiki timu ya Stoke City mwanzoni mwa mwaka 2017 ambapo amenunuliwa kwa dau takriban la millioni 12 pesa za uingereza akitokea katika timu la Bromwich Albion baada ya kuto kuonesha umahiri mkubwa kama alioufanya katika msimu wa 2014-2015.

Tukumbuke kuwa Berahino alikuepo hapa nchini Burundi ambapo alikuja kuchukua paspoti yake ya taifa ili aweze kupata fursa ya kichezea timu ya taifa INTAMBA MURUGAMBA.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com