Tetesi: Rappa Magic Kingorongoro amepotezwa na watu wasio julikana

Spread the love

Hofu na mashaka vimetanda kwenye Familia ya msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Burundi Magic Soldier(Mystère) a.k.a Kingorongoro.

Mama wa msanii huyo hofu zimemjaa za kumpoteza mwanae ambapo kwasasa ni takribani siku mbili bila kujua alipo.

 

Kupitia mtandao wa whatsapp mzazi huyo yuko anataftisha mwanae uku na kule bila mafanikio, Wanda Boy manager wa msanii huyo athibitisha hilo kupitia meseji alizoandikiwa na mama wa msanii huyo.

Ila za chini chini zinasema kwamba msanii huyo inawezekana amepotezwa na Management yake inayoongozwa na Wanda Boy mana walikuwa na ugomvi mrefu baada ya Kingorongoro kutangaza hadharani kwamba ameachana na Management hiyo.

Watu wa karibu na Kingorongoro wanasema kwamba msanii huyo alikuwa anatafutwa mara kwa mara na watu wa Wanda Boy uku wakihisia kwamba wanataka kumfanyia ubaya mana waliwahi kufokeana kwa matusi machafu.

NGM257 itaendelea kuwajuza kinacho jiri kuhusu kupotea kwa Magic Kingorongoro.

Related Post

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat