NGM257

Top Video| Gaga Blue- Mama la Mama ft. Baraka the Prince& Mr T Touch

Spread the love

Mwanamuziki na Rapper pia GAGA BLUE baada ya kujijengea Headlines kubwa Nchini Burundi na Tanzania pia ya kueleweka pande za EAT AFRIKA kwa sasa amerudi tena na kazi mpya ambayo imemkutanisha na Msanii mkubwa wa BONGO FLEVA BARAKA THE PRINCE akiwa na PRODUCER kutoka TOUCH SOUND nae si mwingine akiwa ni T TOUCH.Kazi nzima imetoka na Video tayari.
Itazame hapa chini.
SHARE NA WENGINE PIA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com