NGM257

New Video: VunJa GoTi – Magic Kingorongoro x Kolly The Magic

Spread the love

Magic Soldier Kingorongoro anatukaribisha kuitazama na kuisikiliza ngoma yake alioipa jina la ”Vunja Goti”,kwenye ngoma hiyo ameshirikiana na Producer Kolly The Magic na Mwanadada Esther Nish.

Video imeongozwa na Grand Pictures na Audio imetayarishwa na Kolly The Magic.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP2FB Auto Publish Powered By : XYZScripts.com