Umbea| B-bright asikitishwa na kitendo hiki

Spread the love

 

Mmoja kati ya wasanii wawili waliokua chini ya mkataba wa Zenges Records ambae ni B-bright Acapella, alieonekana kijana mahiri na mbunifu kwenye utunzi wa nyimbo za mapenzi (Romantic Songs), amesikitishwa na kitendo cha kinyama alichofanyiwa na watu wasiojulikana.

Mkali huyo ametueleza NGM257 kuwa hajafurahia watu ambao wameweza kuvujisha wimbo wake ambao alikua akitarajia kuachia mwezi Julai(7) baada ya kuutendea haki ya video nzuri enye ubora wa kisasa.

Brother, wimbo huo hata sielewi umetoka tokaje, maana nilikua napanga budget ya video ili niuachie mwezi wa saba, alienifanyia hiko kitendo sijui kama alitaka kunikomoa, basi amefanikiwa, ila nitamtafuta mpaka mwisho nimjue na nimuulize nini malengo yake.”

Alisema B-bright.

 

Tukumbuke kuwa msanii huyo hayupo tena chini ya mkataba wa Zenges Records takriban wiki moja sasa, mkali kwasasa yupo chini ya mkataba wa IWACU VISION chini ya mkurungenzi Guy Raps.

Sikiliza wimbo RURASOSA uliovuja hapa chini

 

Related Post

You May Also Like

One thought on “Umbea| B-bright asikitishwa na kitendo hiki

  1. Pôle Sana mdogo wangu mbele ndiyo pazuri Pia mshaara wa dhambi ni mauti. Wachie endeleya na job yako ipo Siku watakuwa kujutiya. I love your son YB ( Young brother)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat