NGM257

Umbea| Natacha Vs Ashley Diva kodo kodo

Spread the love

 

Muda mrefu inasemekana kuwepo utofauti wa kikazi kati ya Natacha & Ashley Diva.

Mwaka jana mwezi November tareh 28, majira ya saa 2 na dakika 48 (20:48) Mwanadada Ashley Diva alipokuwa safarini kutoka nchini Kenya ambapo ndio makaazi yake, akijielekeza nchi Burundi ambapo ndio nyumbani kwao, aliweza kubandika picha kwenye ukurasa wake wa facebook na kuandika maneno yafutayo:

Wajulishe waliopanga.. Mwenye nyumba kajaa Anamelemeta

 

Post hii na kijembe hiki kimekua gumzo midomoni mwa mashabiki wa muziki nchini Burundi, Diva alipoulizwa na waandishi wa habari kuhusiana na post hiyo amekanusha kuwa hajamfumbia yeyote.

Leo hii tareh 4 mwezi februari mwaka 2018, imeonekana post kwenye ukurasa wa mwanadada Natacha wa Instagram, pichani akiwa na mdogo wake, Divine, na maneno haya yafuatayo:

Tunacheka sana mimi na @divine.modelqueen. Aseme mwenyenyumba anakuja kuvuna sasa wakulima wote mnipishe,shamba yenyewe imemshinda akakimbia bila kuraga. Ivi sijui anafika wapi, mkibahatika kumuona mu muniulizie sasa wakulima wanaweza kuvuna byenye walilimaga? #Apa kazi tu #Mbele ya kusema tenda kwanza

 

Kwa kauli mbili hizi inaonekana kuwa ni vijembe wanavyotupiana wawili hawa.

Baada ya muda kiasi mmoja kati ya waandishi wa habari wa Radio Colombe ambae ni Judie-Caelle aliweza kubandika screenshot mbili hizo kwenye kurasa wake binafsi, mmoja kati ya wasanii wa kundibzima la Etoile Du Centre ambae ni Willy ameonekana ku weka maoni yake kwenye picha ya Ashley Diva na hivi ndivo ilivotokea.

Tazama mchezo mzima ulivojiri kati ya Diva na Natacha hapa chini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com