Uongozi wa SatB watangaza kuanzisha Festival kubwa ya muziki Burundi 2019 kama wengine mastaa Afrika

Spread the love

Kupitia mtandao wa Twitter wa Kent P moja ya wafuatiliaji na waongozaji wa kubwa wa kazi za msani Sat B ametangaza kuanzisha Festival ya muziki Burundi mwaka wa 2019 ambayo itakuachini ya msanii Sat-B.

Hata hivo Kent P akuweka wazi tarehe, mwezi na mkoa ambao Festival hiyo itaanzia na Festival imepewa jina la “Indoto Festival 2019”.

Hii ni fikra kubwa kwenye muziki mana leo hii wasanii wengi wanarikodi nyimbo na kushoot video ila mpaka nyimbo zinaachuja zinaishia kuwa nyimbo tu ambapo haujapata faida yoyote zaidi labda kama views za YouTube atapata au na hizi platforms ndogo ndogo za kuuza nyimbo kama atakua amepata huko ila nje ya hapo huwezi kuta kaongeza wazo la kupata pesa kupitia kazi yake. Na hiki ndicho Sat B na uongozi wake wanawashindia wengine wasanii wa Bujafleva.

Haya ni mawazo ambayo kama wasani lazima wawe nayo ili yawasaidie kutengeneza hela bila kutegemea shows na karaoke ambavyo ndio tegemeo likubwa kwa wasanii wetu.

Nadhani wasani wananafasi kubwa ya kutengeneza hela ila tatizo wanashindwa kutafuta watu sahihi wa kuwashauri na wao kujiongeza kufanya vitu vikubwa vya kuwapatia hela.

Sat B na uongozi wake wamekaa chini na kuangalia fursa ya kupata hela na mwisho wa siku hawawezi kufa masikini mana wana ubunifu wa kutosha.

Related Post

You May Also Like

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Facebook Auto Publish Powered By : XYZScripts.com
WhatsApp chat